Wajinga ndio tuliwao siku zote.. wacha watule tuu.. wananchi si kama misukule ya wanasiasa.. hata tupigwe la kati tuko fresh tuuNinawaza kwa kina majibu sipati, hawa waheshimiwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kweli?. Ninaona wenzetu hawatangulizi masrahi ya taifa mbele badala yake wamejaa chuki binafisi, kujipendekeza na kulinda masrahi Yao binafisi.Ninamuangalia Luhaga mpina wa 2015-2020 si huyu wa 2021-2025.Musukuma naye badala ya kuongea mambo ya kitaifa anafanya personal attack kwa mpina kwa mambo yaliyopita lkn binafisi. Please and Please Wabunge wetu tunaomba muzihurumie Kodi zetu.
Nazani hujakosea mkuuWale ni wabunge wa magufuli
2025 wajiandae kuaga mashindano.
#MaendeleoHayanaChama
Niulize nami nikuulize mkuuWalishinda?