Tumemsemea sisi au kamsemea Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Jamani Mh. Rais kasema wazi, hawezi ongeza muda, muda wake ukiisha anaondoka zake, kwanini mnamsemea maneno ya uongo, lini Mh. Rais kasema anataka kuongeza muda? Huku ni kuchafuana, acheni hizo plz
Kuna watu wanadhani #1 wa sasa kwa vile Vincent ni ndugu basi lolote haliwezi kutokea! Wanajidanganya, kuna vijana ndani ya mabaka nao sio mafala hata kidogo. Wana kipimo cha uvumilivu na hali inaelekea kwenye red alert, acha apindue maamuzi ya watu wao wapindue meza na kumwaga mlo!Kwani CCM itashinda uchaguzi?
4Tetesi
Members, wasibezwe hili kundi la CCM mpya na waongeaji watapita kwa kishindo kikuu kwa lengo maalum bungeni kubadili katiba na Kuongeza muda wa Rais kutawala
Kauli ya Rais mstaafu Mwinyi sio mara moja au kwa bahati mbaya anapenyeza kauli ya kubadili Katiba kuhusu ukomo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Watu wafuatao ndio watakaoendesha bunge na kuwa waongeaji wakuu bungeni. Hakuna atakaye nyanyua mdomo wake kuwapinga watu wafuatao bungeni:
Paul Makonda
Cyprian Musiba
Alexander Mnyeti
Mchungaji Gwajima
Tulia Ackson
Waliotajwa wataingia bungeni kimkakati na siyo kwa bahati mbaya. Hoja zao ndio zitakuwa za mwisho kwa maamuzi ya Taifa.
Paul Makonda, Alexander Mnyeti, Mchungaji Gwajima na Cyprian Musiba msiwachukulie kirahisi na kuwadharau, Hao watu ni wajenga hoja wazuri tena za kulazimisha utake usitake lazima uwaunge mkono ili ubaki salama kwenye CCM mpya.
Hakuna cha mpasuko wala ufa CCM. Sauti ni moja tu yenye nguvu na kuheshimiwa. Hakuna mwenye uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wa chama wala kunyanyua mdomo kuhoji maamuzi ya Mwenyekiti.
Mwenyekiti amepitishwa kwa asilimia 100%. Hii inampa nguvu ya kuaminiwa na yeyote atakaye ongea kuhusu kura za maoni kwa upande hasi hasa za ubunge basi atafute Maisha mengine nje ya bunge na CCM mpya.
CCM ni moja na yenye nguvu zaidi, Wapinzani tafuteni mbinu mpya, CCM imempa mamlaka ya asilimia 100% Mwenyekiti kwa kupiga kura za ndio Dodoma, Sauti yake ni sauti kuu. Hakuna mwanachama atakaye tenda nje ya Maamuzi ya Chama
Wapinzani msisubiri eti CCM kutakuwa na mpasuko ili mpate hoja za ubunge, Bunge linakwenda kuwa la kimkakati kupitisha hoja maalum ya ukomo wa Rais madarakani.
Siwezi ongelea uhai wa mtu mungu ndio anaepanga.Hata wakibadili katiba kwa kumlenga mtu na ulafi tu hawataweza kuongeza miaka ya kuishi. Wakifanya hivo future yao itajakuwa ni mateso na kilio na kusaga meno. Haihitaji akili nyingi kujua hili.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Chama Cha Mapinduzi, CCM, kinaendeshwa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizowekwa.Siwezi ongelea uhai wa mtu mungu ndio anaepanga.
Lakini kubadili katiba hakumpi Magufuli guarantee ndani ya CCM katika mchakato wa kutafuta raisi 2025.
Ikitokea Magufuli anagombea tena 2025 basi jua ni kwa baraka za chama sio mbinu zake yeye wala Ndugai.
Anyway tunachoongea ni assumptions tu yeye mwenyewe kwa kauli zake hana huo mpango hii ni awamu yake ya mwisho kama ilivyokuwa kwa waliomtangulia.
Hayo umesema wewe mpaka sasa alichosema Magufuli hii itakuwa mara yake ya mwisho; by now you should know he is a man of his word.Chama Cha Mapinduzi, CCM, kinaendeshwa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizowekwa.
Na kamwe hakiendeshwi kwa Baraka.
Mwenye mamlaka ya juu anaweza shinikiza jambo kimya kimya kwa kisingizio cha
Baraka.
Malizieni Mchakato wa Katiba, humo wekeni Utawala wa Kifalme.
Kama wananchi wataridhia basi mchagueni huyo mnaye mwona Mtakatifu atawale milele na wapendwa wake.
Hapo hakutakuwa na tatizo.
Ila hizo Baraka zitaleta matatizo makubwa sana hapa nchini.
Fuateni utaratibu uliowekwa, au mwambieni akagombee , Rwanda, Burundi, na Uganda, kama haridhiki na muda wa madaraka tulio mkabidhi wananchi.
Huko hakuna ukomo.
Sijataja jina la Mtu.Hayo umesema wewe mpaka sasa alichosema Magufuli hii itakuwa mara yake ya mwisho; by now you should know he is a man of his word.
Upo sahihi mkuuTetesi
Members, wasibezwe hili kundi la CCM mpya na waongeaji watapita kwa kishindo kikuu kwa lengo maalum bungeni kubadili katiba na Kuongeza muda wa Rais kutawala
Kauli ya Rais mstaafu Mwinyi sio mara moja au kwa bahati mbaya anapenyeza kauli ya kubadili Katiba kuhusu ukomo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Watu wafuatao ndio watakaoendesha bunge na kuwa waongeaji wakuu bungeni. Hakuna atakaye nyanyua mdomo wake kuwapinga watu wafuatao bungeni:
Paul Makonda
Cyprian Musiba
Alexander Mnyeti
Mchungaji Gwajima
Tulia Ackson
Waliotajwa wataingia bungeni kimkakati na siyo kwa bahati mbaya. Hoja zao ndio zitakuwa za mwisho kwa maamuzi ya Taifa.
Paul Makonda, Alexander Mnyeti, Mchungaji Gwajima na Cyprian Musiba msiwachukulie kirahisi na kuwadharau, Hao watu ni wajenga hoja wazuri tena za kulazimisha utake usitake lazima uwaunge mkono ili ubaki salama kwenye CCM mpya.
Hakuna cha mpasuko wala ufa CCM. Sauti ni moja tu yenye nguvu na kuheshimiwa. Hakuna mwenye uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wa chama wala kunyanyua mdomo kuhoji maamuzi ya Mwenyekiti.
Mwenyekiti amepitishwa kwa asilimia 100%. Hii inampa nguvu ya kuaminiwa na yeyote atakaye ongea kuhusu kura za maoni kwa upande hasi hasa za ubunge basi atafute Maisha mengine nje ya bunge na CCM mpya.
CCM ni moja na yenye nguvu zaidi, Wapinzani tafuteni mbinu mpya, CCM imempa mamlaka ya asilimia 100% Mwenyekiti kwa kupiga kura za ndio Dodoma, Sauti yake ni sauti kuu. Hakuna mwanachama atakaye tenda nje ya Maamuzi ya Chama
Wapinzani msisubiri eti CCM kutakuwa na mpasuko ili mpate hoja za ubunge, Bunge linakwenda kuwa la kimkakati kupitisha hoja maalum ya ukomo wa Rais madarakani.
Great thinker.Tetesi

Well Magufuli is a man of his word take it. Hata kama ukumlenga yeye.Sijataja jina la Mtu.
Nasema wengi wanasema hivyo kama geresha tu, hasa viongozi wa Kiafrika.
Tumeshuhudia kwingi maneno kama hayo na mwisho ikawa ndivyo sivyo.
Tetesi
Members, wasibezwe hili kundi la CCM mpya na waongeaji watapita kwa kishindo kikuu kwa lengo maalum bungeni kubadili katiba na Kuongeza muda wa Rais kutawala
Kauli ya Rais mstaafu Mwinyi sio mara moja au kwa bahati mbaya anapenyeza kauli ya kubadili Katiba kuhusu ukomo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Watu wafuatao ndio watakaoendesha bunge na kuwa waongeaji wakuu bungeni. Hakuna atakaye nyanyua mdomo wake kuwapinga watu wafuatao bungeni:
Paul Makonda
Cyprian Musiba
Alexander Mnyeti
Mchungaji Gwajima
Tulia Ackson
Waliotajwa wataingia bungeni kimkakati na siyo kwa bahati mbaya. Hoja zao ndio zitakuwa za mwisho kwa maamuzi ya Taifa.
Paul Makonda, Alexander Mnyeti, Mchungaji Gwajima na Cyprian Musiba msiwachukulie kirahisi na kuwadharau, Hao watu ni wajenga hoja wazuri tena za kulazimisha utake usitake lazima uwaunge mkono ili ubaki salama kwenye CCM mpya.
Hakuna cha mpasuko wala ufa CCM. Sauti ni moja tu yenye nguvu na kuheshimiwa. Hakuna mwenye uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wa chama wala kunyanyua mdomo kuhoji maamuzi ya Mwenyekiti.
Mwenyekiti amepitishwa kwa asilimia 100%. Hii inampa nguvu ya kuaminiwa na yeyote atakaye ongea kuhusu kura za maoni kwa upande hasi hasa za ubunge basi atafute Maisha mengine nje ya bunge na CCM mpya.
CCM ni moja na yenye nguvu zaidi, Wapinzani tafuteni mbinu mpya, CCM imempa mamlaka ya asilimia 100% Mwenyekiti kwa kupiga kura za ndio Dodoma, Sauti yake ni sauti kuu. Hakuna mwanachama atakaye tenda nje ya Maamuzi ya Chama
Wapinzani msisubiri eti CCM kutakuwa na mpasuko ili mpate hoja za ubunge, Bunge linakwenda kuwa la kimkakati kupitisha hoja maalum ya ukomo wa Rais madarakani.
Usisumbuke na misamiati. Hapa hakuna cha ndumba wala ramli chonganishi. Mambo ya kushinda kura nchi hii anayajua vizuri Maalim. Alidhulumiwa hata na Mwenyi Heri. Kushinda kura hata Lowassa alishinda. Hoja ni kutangazwa. Anayetangazwa hutafutiwa utambulisho wa kushinda kura. Haijalishi dunia nzima inajua hakushinda, atapambwa kwa kila sifa. Hata mhusika akiwa peke yake huguna kukana hayo mapambio!Kishindo cha wizi wa kura
hawaweziTena kwa kishindo
Sipendi wala situkani. Kuna wakati niliandika na sasa narudia. Wale wenye kithembe si kizembe kilaza wanathema kilatha! Yawezekana babu alikuwa na kithembe. Wewe ni kilaza kwelikweli.Well Magufuli is a man of his word take it. Hata kama ukumlenga yeye.
Mchana mwema kiongozi.