Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
comrade,Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake.
Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko viongozi hao wanapaswa kulipia tzs 133,000/=. Sasa viongozi hao ndiyo nguzo ya ushindi kwa madiwani, na wabunge why ktk zoezi hili wabunge wasikubali kubeba gharama hizo?
Katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ujao pikipiki hizi ndizo nyenzo muhimu za ushindi - wabunge tafakalini hilo na kuichukuwa hatua haraka.
Ngaika Ndenda
Kakonko
Naona kwenye hili tumesimama pamoja haina Namna wachangie hicho kiasi kidogo Cha 133,000/= ili wakabidhiwe chombo.Mmeshapewa pikipiki yenye thamani ya milioni 3 au zaidi, bado mnataka na laki na 33 nazo mlipiwe!?,kama mnamaanisha mtakuwa hampo serious kabisaa. Tena ningekuwa mimi ningetangaza atakayeshindwa kulipia hiyo 133,000 na pikipiki asipewe ipelekwe sehemu nyingine.
Comrade,comrade,
una wazo zuri.
ila, ili viongozi hao wawe waangalifu, makini zaidi na uchungu na hivyo vitendea kazi hivyo muhimu kwenye maeneo yao, ni vema wakawajibika kuvimiliki kwa wao kumalizia kuchangia gharama hizo kidogo ili matunzo yawe ni mazuri kidogo 🐒
Ikiwa magari ya chama yana jazwa mafuta na chama na service inafanywa na chama basi na pikipiki nazo si vibaya zikawa zinarekebishwa na chamaNaona kwenye hili tumesimama pamoja haina Namna wachangie hicho kiasi kidogo Cha 133,000/= ili wakabidhiwe chombo.
Kivipi pikipiki zitakuwa nguzo ya ushindi wa ccm??Katika uchaguzi wa Serikali za mitaa ujao pikipiki hizi ndizo nyenzo muhimu za ushindi
Sikubaliani nawe.Ikiwa magari ya chama yana jazwa mafuta na chama na service inafanywa na chama basi na pikipiki nazo si vibaya zikawa zinarekebishwa na chama