Wabunge wa CCM wanaojitambua wameamua kutoingia Bungeni kupitisha Azimio la kuuza Bandari; bunge lipo tupu

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV.

This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa sehemu ya mjadala huu wakiogopa kuandamwa kwa kuipinga serikali; lakini tujiulize walipoimba ubunge awakujua wanakwenda kujadili mambo gani?

Bunge viti vipo empty as if hakuna jambo la maana linaendelea. Kulikuwa na haja gani ya kupeleka jambo hili kwenye bunge lisilo na wabunge?
 
Ndio maana hao waliopo wanapiga kelele za kushangilia unyonyaji tunaofanyiwa na Samia kama machizi, hayana aibu, yameshapangwa.
 
Ni bora kuuepuka laana,kuliko kuitafuta laana.Nikimjua aliyekataa Kuwa sehemu ya jambo hili atakuwa rafiki,ndugu na mzalendo mwenzetu wa taifa hili🤔
 
Tupiamo na tupicha picha tujionee,isije Kuwa mambo yanaendelea closed door/behind the scene😂
 
Chadema Leo kama ningekuwa mwanasiasa wenu ningechoma moto kuanzia kadi yenu Hadi magunia yenu ya kupitia mipunga huku Rukwa.
Mwanazuoni Pr Alexandre Mkumbo huyu mtu ana akili kubwa sana.amechambua vizuri sana
 
Bishop Gwajima, Mpina wamehudhuria?

Tuanzie hapo.
 
Chadema Leo kama ningekuwa mwanasiasa wenu ningechoma moto kuanzia kadi yenu Hadi magunia yenu ya kupitia mipunga huku Rukwa.
Mwanazuoni Pr Alexandre Mkumbo huyu mtu ana akili kubwa sana.amechambua vizuri sana
Sasa CDM wamekukirihisha kipi na hawapo bungeni?Au ndiyo ile ukionewa sehemu hata ukimkuta mbwa na wewe unampiga ili kutuliza uchungu wako?
 
Na je wale vigagula wenye umiliki wa wanakijani nao vipi🤔
 
Kwani hao wabunge hawataki maendeleoo
 
kwa nini hawakwenda? Huko siyo kuwajibika kwani walitakiwa washiriki na kukubali au kukataa hoja hizo
Kuna aina nyingi au aina kwa aina au tofautitifauti za kuonesha hautaki jambo.Hiyo ni mojawapo.Achilia mbali kufiwa,ugonjwa au kufukuzwa bungeni.
 
Hata hata Mimi na Mpwayungu Village hayupo bungeni
 
Ni bora kuuepuka laana,kuliko kuitafuta laana.Nikimjua aliyekataa Kuwa sehemu ya jambo hili atakuwa rafiki,ndugu na mzalendo mwenzetu wa taifa hili🤔
Sasa kama ana nafasi ya kwenda kupinga huu udhalimu akaamua kuepuka na kukaa kimya anakuaje mzalendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…