BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Kwa uchunguzi wa kina inaonekana wananchi hawana hamu na wagombea ubunge wa ccm,kwani wengi wao wanonekana kujali maslai yao,kitu ambacho wananchi hawana huwakika nacho ni mgombea uraisi,kikweke kapoteza dira na ile sera ya ccm ya maisha bora kwa kila mtanzania.sera za ccm za sasa hivi ni kama matangazo ya internet jaribu kuchunguza alafu ujipe jibu.ccm hawajui uchungu wa kutawaliwa embu mwaka huu tuwaonyeshe labda itakuwa chachu ya maendeleo....kama ww umezoea kutoa amri siku ukipewa ww utajisikiaje? Hata na katiba yetu tunaweza badilisha.....kwani katiba yetu inakupa haki kwa mkono huu na inakunyanganya kwa mkono mwingine.....mabadiliko kwa maendeleo.