Elections 2010 Wabunge wa ccm watapoteza viti kwa 70%

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
wabunge wengi wa ccm wapo tayari kufanya lolote ili wapate kurudi bungeni.....uchunguzi wa kina unaonyesha wananchi wamechoshwa na wanaitaji mabadiliko..
 
wabunge wengi wa ccm wapo tayari kufanya lolote ili wapate kurudi bungeni.....uchunguzi wa kina unaonyesha wananchi wamechoshwa na wanaitaji mabadiliko..
Slaa and his team is our only hope
 
Slaa and his team is our only hope

Negotiator taratibu na maneno yako mabovu CHADEMA na Slaa lazima washirikiana na vyama vya upinzani wasiposhirikiana nina uhakika CCM itashinda kwa kishindo.
 
Negotiator taratibu na maneno yako mabovu CHADEMA na Slaa lazima washirikiana na vyama vya upinzani wasiposhirikiana nina uhakika CCM itashinda kwa kishindo.
Hapana!! CHADEMA imezidi kuwa tishio!
Ona CCM inavyohamaki na ku-panic... wanatumia kila njia na kila hila kwani maji yamewafika shingo! Kuhusu CHADEMA kushirikiana na wapinzani wengine... hilo liko wazi: CUF walipewa offer ya bure ya ugombea mwenza lakini hawakutaka. Sasa unataka CHADEMA ifanye nini zaidi? Hata hivyo pamoja na haya yoooooooooooooooooooooooote bado CHADEMA imekuwa tishio kubwa na itashinda!!!!!!!
 
wabunge wengi wa ccm wapo tayari kufanya lolote ili wapate kurudi bungeni.....uchunguzi wa kina unaonyesha wananchi wamechoshwa na wanaitaji mabadiliko..
Pumba tu, kama huna cha kuandika soma post za wenzako. unajua uchunguzi wa kina wewe?
BABA JUICE
Junior Member
Join DateSun Sep 2010Posts2 Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
By the way karibu janvini mpendwa, ungekuwa umesifia ccm ungeambiwa umetumwa lakini kwakuwa chadema aah poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…