Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Yule hawezi kuwabeba bila baraka na maelekezo ya mlipaji mishahara(Executive)Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena.
COVID-19 waachie ngazi mara moja
"Amelaaniwa yule amtegemeae Mwanadamu" Tuheshimu maandiko jamani
Njaa mbaya
MUNGU ATAWACHAPA FIMBO KIVINGINEWabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena.
COVID-19 waachie ngazi mara moja
Tumtegemee Mungu tu kwa kila jambo"Amelaaniwa yule amtegemeae Mwanadamu" Tuheshimu maandiko jamani