James.L.Laiser
Member
- Feb 20, 2014
- 87
- 35
Ni wakati wa kuahirisha semina kwa wabunge wa Bunge maalum la Katiba, mwenyekiti wa muda wa bunge hilo mh,Kificho alitoa tangazo linalowataka Viongozi na wabunge wa vyama vya Chadema,Cuf na Nccr kukutana usiku wa leo ktk ukumbi wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Mh Kificho alitoa kauli akisema kwamba yeye kaambiwa tu kutoa tangazo ila hajaambiwa kwamba nini sababu ya kukutana kwao.
Source,,TBC Live kutoka Dodoma.
Mh Kificho alitoa kauli akisema kwamba yeye kaambiwa tu kutoa tangazo ila hajaambiwa kwamba nini sababu ya kukutana kwao.
Source,,TBC Live kutoka Dodoma.