James.L.Laiser
Member
- Feb 20, 2014
- 87
- 35
Wanaenda kupanga mandamano wanadhani katiba hii ni ya kwao kumbe ni katiba ya watanzania wote.
Wanapokutana Pr. LIPUMBA, MBATIA NA KAMANDA MBOWE naamini wanajadili mambo ya kheri kwa ajili ya Tanzania. Ila wale watani zetu ndiyo huwa siwaamini sana kwani wengi wao ni wanafiki tu, hasa wale.wa upande wa Zenji ndiyo balaa kwa unafiki.
Mbowe akili zake zinamtosha mwenyewe sijui huu utaratibu wa kuweka mipango ya vurugu kwa kila jambo kwanza ule umoja wao wa mwanzo uliishia wapi walisema wataweza kuandamana nchi nzima.
Duh..kwa udogo wa akili yako..na kasi ya kuporomoka ni wazi si muda hutakuwa na akili kabisa. Na wewe ni asset ya CCM?Wanaenda kupanga mandamano wanadhani katiba hii ni ya kwao kumbe ni katiba ya watanzania wote.
Wanaenda kupanga mandamano wanadhani katiba hii ni ya kwao kumbe ni katiba ya watanzania wote.
Mbona wanachelewa kukutana? CCM hukutana kila siku, kila Waziri ana vikao vyake vya siri na kuwashawishi wajumbe na kugawa bahasha za kaki, sisi tupo nyuma yenu, hakikisheni joka linatoka ndani 2015., all the best tunataka umoja kama huo.,
Ni kweli Mkuu kila siku isipokua leo tu,mwenyekiti wa muda wa Bunge maalum la katiba huwatangazia Wabunge wa Ccm kukutana ktk jengo la zamani la Pius Msekwa.
Nawashangaa watu km Simiyu yetu hana macho ya kuona hayo yote kwa Ccm ila anaona kwa wapinzani tu! Nashindwa kuelewa watu km Simiyu yetu huwa ana akili za namna gani?
Hata sasa naungana na wewe kwamba wamechelewa kukutana km ambavyo wenzao Ccm wanafanya kila siku.
Duh..kwa udogo wa akili yako..na kasi ya kuporomoka ni wazi si muda hutakuwa na akili kabisa. Na wewe ni asset ya CCM?
Ikumbukwe wakati CUF wapo wengi bungeni waliwashirikisha CDM ktk serikali kivuli,CDM walipokuwa wengi bungeni waliwaacha CUF na NCCR kwenye mataa.
ukiangalia vyema..CDM wana kura ya Siri nadhani unajua hofu ya CCM, wana Serikali 3 nadhani wazenj wote wa CUF na CCM wanataka hilo achilia mbali wana CCM wa bara, wana vyama vya kiraia na wanaharakatiIkumbukwe wakati CUF wapo wengi bungeni waliwashirikisha CDM ktk serikali kivuli,CDM walipokuwa wengi bungeni waliwaacha CUF na NCCR kwenye mataa.