Wabunge wa Dar es salaam tuungeni mkono maandamano ya kudai pesa zetu za field

Ungarobo

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
18
Reaction score
17
Nimateso, udhalilishaji, uonevu, kukosa utu, kutokujari wasomi...sisi wanafunzi wa vyuo vikuu tunanyanyasika sana huku mtaani.Tunaishi kwa shida na taabu jaman mtuhurumie...niwiki ya 3 sasa hatujui hatma yetu huku FIELD...jumatano wanafunzi wote tumepanga maandamano ya kudai haki yetu au tujulishwe kama Serikali haitukopeshi tena tujue moja...kwapamoja tunaomba Wabunge wote wa DAR, madiwan, na wote wenye mapenzi na utu na elimu ya tanzania muungane nasi kudai haki dhidi ya udharimu na unyanyasaji tunaotendewa...MUNGU IBARIKI TANZANIA...Jumatano tunaanzia viwanja vya Jangwani
 
Mtasubiri sana!!! Jamaa wanajiandaa kwa msimu mwingine wa mavuno kwenye BMK, wewe unawaaomba wakuunge mkono? Labda ungejaribu kwa Mnyika na Mdee ndo wanaweza kukusaidia!!!!
 
Bodi ya mikopo na vyuo vinashughulikia hilo jambo. Huna haja ya kugoma wala kuandamana. Na huna haja ya kumfata mnyika wala mdee maana hao ni wanasiasa tu na sio watendaji.

Mtasubiri sana!!! Jamaa
wanajiandaa kwa msimu mwingine wa mavuno kwenye BMK, wewe unawaaomba
wakuunge mkono? Labda ungejaribu kwa Mnyika na Mdee ndo wanaweza
kukusaidia!!!!
 
Hayo Maandamano hayatawasaidia chochote zaidi ya kupigwa na vyombo vya usalama vikiwa kazini katika harakati za kulinda Amani, nyie ni wasomi, Tazameni Plan nyingine!
 
Acheni kupoteza muda wenu mkiandamana ndo mtapata hiyo pesa mlishidwa kuandamana mkiwa chuo leo mnaandamana mtaani mtapigwa hadi mfe...
 
Mkuu hapo umenena hii nchi bila kuwa ngangari mazoea yanazidi,jumatano lazima tuingie barabarani tushachoka na uongo wao.Kama walijua wameishiwa kwa nini hawakutuarifa mapema tuangalie alternative nyingne badala ake wametufanya kama watoto,wametusainisha then wakatokomea wakijua kila mtu atakuwa kwao.Majukwaan porojo nyingi,toka moyoni i hate you ccm,
 

Ishia hapo hapo.., unataka ukafanye field ya nini kwanza.., then tuone kama kuna tija..
 
sawa kabisa ikiwezekana hata mwanza kufanyike hiki kitu. jamaa wamezid kutafuna pesa zetu bn
 
mmefanya kozi kabla ya kupewa sisi tulitoa onyo alhamisi la kutokufanya UE juma3 na jmosi tukapewa.
 

ni udhalimu sio udharimu
 
poleni sana..sisi mbona tayari tumeingiziwa takribani wiki moja iliyopita
 

Hlo ndo tatzo la kukalili.....unajiita msomi afu unashndwa hata kuwa na plan b ya maisha,wamekupa boom ambayo total yke ni zaid ya 2m umekula vbya uktegemea field allowance itakuja on time?
 
Et na ww n msomi????
Ha ha ha


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cha msingi tuvumilie wataeka n also cku nyngne omba ambapo watakupa hata pesa ya maji.....umekmbilia halmashaur kufanya field unategemea itakuwaje?
 
Bodi ya mikopo na vyuo vinashughulikia hilo jambo. Huna haja ya kugoma wala kuandamana. Na huna haja ya kumfata mnyika wala mdee maana hao ni wanasiasa tu na sio watendaji.

How long is it gonna take? Forever?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Bodi ya mikopo na vyuo vinashughulikia hilo jambo. Huna haja ya kugoma wala kuandamana. Na huna haja ya kumfata mnyika wala mdee maana hao ni wanasiasa tu na sio watendaji.



wanashughulikia mpaka lini, acha UKADA WA CCM MJINGA HIVI UNAJUA MATESO TUNAYO YAPATA HUKU FIELD,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…