Wabunge wa Dar es salaam tuungeni mkono maandamano ya kudai pesa zetu za field

Hayo Maandamano hayatawasaidia chochote zaidi ya kupigwa na vyombo vya usalama vikiwa kazini katika harakati za kulinda Amani, nyie ni wasomi, Tazameni Plan nyingine!

ipi hiyo...mana zote zimeshindikana..iliyobaki ni ya nguvu ya uma
 
Tatizo la vijana wengi ni kukosa umakini,utakuta uchaguzi unafika lakini vijana hawataki kupiga kura na kuchagua Viongozi makini wamekalia ushabiki tu na kudhani uongozi mzuri unajileta,toka lini hawa jamaa walioko madarakani wakawa na huruma kwa wananchi??? toka lini wakaona SEKTA ya Elimu nchini inahitaji kipaumbele??? na bado tena kipindi hiki pesa kwa ajili ya chakula na malazi zitakua zinafika baada ya semester kuisha. Kila kada wanalia si watumishi serikalini kua wanacheleweshewa pesa zao bila hata sababu za msingi,si wakulima wanalalamika kua Dhana ya KILIMO KWANZA ni usanii mtupu.Wala si akina mama wajawazito wanalalamika na wengine kupoteza maisha kutokana na Mazingira duni ya kujifungulia.Waulize wao kama posho za wapiga POROJO na kusema kila kitu NDIOOOOOOO Kama hua zinacheleweshwa au kukosa kabisa,waulize kama posho za semina zisizo na tija hua zinakosa,waulize kama pesa za kununua magazeti(bilions of money) hua zinakosa,waulize kama pesa za vitafunwa maofsin hua zinakosa, wakati wanaonunuliwa wanalipwa mishahara minono, waulize kama pesa za kugharamia uchaguzi mdogo majimboni kama hua zinakosa,waulize kama pesa za safari nje ya nchi ya viongozi ambao hua wanaenda eti ku attend semina na mikutano kisha kurudi na empty headed hua zinakosa. NCHI HII INATIA HASIRA SANA.
 
naelekea jangwani kuungana na wadau..japo zetu zilishatoka...tupo pa1
 

tatizo ni wabinafisi sana, kwa sasa unajifanya mwanaharakati kwa kuwa umeguswa wewe.

Wangekuwa wazee wa afrika mashariki wala usingesumbuka kudai haki yao.

Elimu yenyewe imechakachuliwa mpaka basi, kwa sababu halikuhusu na wewe upo chuoni hata huwezi kufikiria kufanya harakati.

Tatizo watu wengi mpaka muumie nyinyi ndo mnapiga kelele, tatizo likiwa si lako hata husumbuki.

Usitegemee msaada wowote mana ubinafisi ni jadi hapa tz. Kama hamjajiorganize mliokosa hela usitegemee msaada.

Hivi unajua mbunge ana majukumu mangapi mpaka aandamane na wewe? Mbona hujawaomba na wakuu wa wilaya na mikoa waandamane na wewe?
 
Cha msingi tuvumilie wataeka n also cku nyngne omba ambapo watakupa hata pesa ya maji.....umekmbilia halmashaur kufanya field unategemea itakuwaje?

mkuu umetumia vigezo gani kujua kuwa sehem flan ukifanya field huwa wanakulipa? Je unajua kuwa vyuo sikuizi vina limitations kibao za sehem/maeneo/mikoa za/ya kufanyia field? Next time jaribu kufikiria kwa makini kabla haujajam.b.a hayo maneno yako.
 
Vijana kuweni na mpango mzuri.
Mmepewa 2M+ ndani ya semister mbili,halafu mmekula zote mnalia eti za fld zimechelewa?!!!
Kwanini mtu usitafute namna ya kuzalisha fedha yako ili ku meet expenses za kila siku?
Hata mkimaliza,mtaendelea tu kulalama kuwa mishahara inachelewa,hadi mnastaafu!
BADILINI FIKRA ZENU!
 
wewe nawe unamatatizo chuo uandamane vipi wakati mkopo umingia mkataba na loanboard na bora board wangesema pesa ziko shule!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…