Pre GE2025 Wabunge wa Dar es Salaam wahamasisha uwekezaji mkoani kwao baada ya kujionea maendeleo Pwani

Pre GE2025 Wabunge wa Dar es Salaam wahamasisha uwekezaji mkoani kwao baada ya kujionea maendeleo Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo imewapa fursa ya kuona uwekezaji mkubwa unaofanyika mkoani Pwani.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Tumeona kwa macho yetu jinsi uwekezaji ulivyopanuka hapa Pwani. Kama wabunge wa Dar es Salaam, tunawahamasisha wawekezaji kuja pia katika mkoa wetu kwani bado tuna maeneo mazuri ya uwekezaji, kama vile Kigamboni na sehemu nyingine," amesema Kisangi.
 
Back
Top Bottom