Wabunge wa Democratic waenda AID hq kuzuia Trump na Elon Musk kuifuta AID

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID.
Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa.
Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote.
Hili ni shirika linawasidia watu wengine duniani.
"Kwa hiyo tumefika hapa tunataka kuingia ndani ya hili jengo tuongee na yeyote tutakayemkuta ndani,atueleze Elon Musk ana manung'uniko gani mpaka aseme anataka kuifuta AID ( which will not happen).
Okay,twende ndani sasa."
 
Trump atawatia misukosuko Sana Watu wa Marekani, Kamala Harris wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika nchi hiyo aliwatahadharisha juu ya ushabiki wa kisiasa na madhara hasi watakayopata Watu wa Marekani kutokana na Uamuzi wao wa kumchagua tena Trump na kumrudisha Ikulu.

Wamarekani Sasa wameanza kuvuna matunda machungu Sana ya kumchagua tena Trump.

Kwa Sasa Watu wanaompinga Rais Trump huko Marekani wana njia Mbili tu za kumdhibiti Trump:-

1. Kuandamana na kupinga baadhi ya maamuzi yake yasiyofaa.
2. Kumfungulia Mashitaka Bw. Trump katika Vyombo Halali vya Kisheria au vya Maamuzi vilivyopo kwenye nchi hiyo ya Marekani, yaani Mahakamani na kwenye Mabunge ya nchi hiyo ili kupinga baadhi ya maamuzi yake yasiyofaa
 
Trump atawatia misukosuko Sana Watu wa Marekani, Kamala Harris wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika nchi hiyo aliwatahadharisha juu ya ushabiki wa kisiasa na madhara hasi watakayopata Watu wa Marekani kutokana na Uamuzi wao wa kumchagua tena Trump na kumrudisha Ikulu.

Wamarekani Sasa wameanza kuvuna matunda machungu Sana ya kumchagua tena Trump
Hawa wanaozama front ni wanauwezo na wanaonea huruma watu wa jamii za kiafrica ambazo hazijionei huruma, jamii imejaa hawa watu machawa kama lukas ni jamii ya hovyo, wazungu wenye busara wameliona hili ila Trump na ma mamba wameona tunajiendekeza kwa ujinga na upumbavu bora kila mtu ajitegemee, unadhani njaa ikiwa kali kutakuwa na chawa wa mpemba? Sio kweli, kwa ground vita itakuwa ya moto...
 
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID.
Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa.
Lakini AID haiwezi kufutwa na Elon Musk bilionea ambaye hakachaguliwa na mtu yeyote.
Hili ni shirika linawasidia watu wengine duniani.
"Kwa hiyo tumefika hapa tunataka kuingia ndani ya hili jengo tuongee na yeyote tutakayemkuta ndani,atueleze Elon Musk ana manung'uniko gani mpaka aseme anataka kuifuta AID ( which will not happen).
Okay,twende ndani sasa."
Elon ni mamba anaetamani kila mtu awe mamba...Musk ni bingwa kabisa kuna mbunge chochote duniani kitapinga ?
 
Hawa wanaozama front ni wanauwezo na wanaonea huruma watu wa jamii za kiafrica ambazo hazijionei huruma, jamii imejaa hawa watu machawa kama lukas ni jamii ya hovyo, wazungu wenye busara wameliona hili ila Trump na ma mamba wameona tunajiendekeza kwa ujinga na upumbavu bora kila mtu ajitegemee, unadhani njaa ikiwa kali kutakuwa na chawa wa mpemba? Sio kweli, kwa ground vita itakuwa ya moto...
Umeongea point kubwa sana, ingawa kwa akioi za kiafrika watu hawatakuelewa. Umejalibu kuvaa huusika na kumwaga nondo. Maana majanga yataanza kuonekana baada ya miezi sita (6) kwenye bajeti zetu
 
Back
Top Bottom