Wabunge wa kenya kuanza kukatwa kodi..

Wabunge wa kenya kuanza kukatwa kodi..

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,406
Reaction score
711
Wabunge wa Kenya wataanza kukatwa kodi ya mishahara yao, ni utekelezaji wa Katiba mpya..
 
Wabunge wa Kenya wataanza kukatwa kodi ya mishahara yao, ni utekelezaji wa Katiba mpya..
Kenya mbona wana akili mingi sana kutuzidi?...Mi nadhani mipaka iliyowekwa na wazungu ilimaanisha kitu fulani zaidi ya kuwarahisishia kututawala.
Walikuwa pia wanaangalia upstairs kwa watu!
 
Back
Top Bottom