Wabunge wa Kenya ziarani kujifunza Mapishi!

Adrian Stepp

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
2,764
Reaction score
2,591
Wakati serikali ya awamu ya Tano ya Tanzania ikipiga marufuku safari za nje ya nchi kwa maafisa wa idara na taasisi mbali mbali za serikali, huku wizara ya fedha ikifuta posho za vikao vya kamati za bunge na vikao vya vya bodi za taasisi za umma nchini.

Wabunge nchini Kenya wameibua mijadala mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kutangaza kufanya ziara katika nchi kadhaa duniani kujifunza mapishi.

Licha ya kulaumiwa kuchukua fedha nyingi nchini humo na kusababisha kutetereka kwa bajeti ya taifa hilo wabunge hao wamepanga kutembelea mataifa ya India, Ethiopia pamoja na Uholanzi. Sababu kubwa ya ziara ya kujifunza mapishi ni kile walichosema ni kuchoshwa na aina ya chakula wanachopikiwa katika mgahawa wa bunge hilo.

Wakenya katika mitandao ya kijamii walihoji iweje wabunge hao wafanye ziara ya kujifunza mapishi na kwanini isiwe wapishi au menejimenti ya mgahawa wa bunge kwenda kujifunza namna bora ya kuwapikia waheshimiwa hao.

==========

 
Kenya wabunge wanalipwa kuliko wabunge wa Ufaransa
nasikia Wabunge wa Kenya ni wanne duniani kwa kulipwa vizuri

Mwalimu alipotumia neno "Nyang'au" alimaanisha haya wanayofanya sasa. Nyang'au huwa haachi kitu!
 
Aisee, kwahiyo wakishajifunza watapika wao wenyewe wakiwa Bungeni?
 
Watakua wanapeana zamu kuingia jikoni
 
naomba msaada wa hiyo mitandao ya Kenya nikajionee hiyo mijadala
 
teh teh teh

their turn to eat,but our time to win

tanzania the gifted land,it's your turn now
 
Somebody decided to re-edit your earlier title Barbarosa, but I have to admit u were right to call these Kenyan MPs ''wajinga''. That's exactly what they are; a bunch of greedy, corrupt and wasteful fools.

The extravagant manner in which the public funds is being expended by our govt is really appalling. And the things they are being expended on, such as these so called ''benchmarking'' trips.....it's really embarrassing (and they are all mirthful about this incredible wastage of funds that could otherwise have been used to build more schools).

They are drawing our country into even further disrepute as highly corrupt and wasteful.
 
....and ofcos it's our turn as Tanzanians to laugh at Kenyans.

i can't differentiate kikwete's style of administration with Uhurus.
hahaha so hilarious.

HapaKaziTu.
 
....and ofcos it's our turn as Tanzanians to laugh at Kenyans.

i can't differentiate kikwete's style of administration with Uhurus.
hahaha so hilarious.

HapaKaziTu.

teh teh teh

you killed pal, Vasco da gama of Africa and uhuru of kenya are the same mind in different bodies.
 

calmness of mind is one of beautiful jewel of wisdom

so calm down Iconoclastes but your country is rotten now,and it's your turn to watch us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…