MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
Uamuzi wa jinsi ya kupiga kura umekuwa ni mgumu kwa sababu wabunge wa CCM hawana hakika kama njama zao zitapita. Kwa maana nyingine, pamoja na kukubaliana kwa ujumla, ni unafiki tu ndo umekuwa ukitumika.
Sababu inayoelezwa tena kwa kujidai kuzungumza kwa upole ni kwamba eti wanataka wananchi wawaone kama kweli wameamua kulingana na mapendekezo yao. Swali langu ni kwamba hawa wabunge wa kuchaguliwa toka bara na visiwani wanawakilisha kundi gani ktk bunge la katiba? Nani amewatuma maoni ambayo wanataka yaonekane?
wabunge 201walioteuliwa na Rais ndo wawakilishi wa makundi mbalimbali nchini kote sasa hawa wengine wametumwa na nani jamani!
btw, eti Sendeka ndo wa busara aliyeteuliwa kuwakilisha hoja za chama na wengine kazi yao ni kumushangilia!