johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Njaa kwani hawawezi kuwatumkia wananchi kwa kufundisha vyuoni, rubbish!Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Bulembo kwa sasa amejipa jukumu moja tu la kuhakikisha " Mkaza mwana" wake Zitto Kabwe harudi bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe Bulembo alikuwa wa viti maalum!! Ndiyo maana alikuwa anashabikia ujinga!!!!!!Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza muda wake Joseph Mbilinyi aka Sugu.
Prof. Kabudi ametia nia kwa kishindo pale Kilosa mbele ya mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli.
Prof. Ndalichako na Dr Mpango wako Kigoma wakihimiza shughuli za maendeleo na wote kwa nyakati tofauti walishatia nia kugombea ubunge huko waliko sasa.
Alhaj Bulembo aliyebahatika kuwemo bungeni yeye na binti yake Halima wote wakiwa wabunge wa viti maalumu ametangaza kustaafu ubunge.
Bulembo kwa sasa amejipa jukumu moja tu la kuhakikisha " Mkaza mwana" wake Zitto Kabwe harudi bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
☺☺☺ ndo wale wale tu mkuu maana anateuwa wabunge 10,itoshe kuseme ni viti maalum tuu.maana kwa rais ni viti vyake maalum 10☺Mkuu, Bulembo si Mbunge wa Viti Maalum. Ni Mbunge wa kuteuliwa na Rais. Tafadhali rekebisha hapo.
Mwana wake nani anaye"kazwa" na Zito!!!
Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza muda wake Joseph Mbilinyi aka Sugu.
Prof. Kabudi ametia nia kwa kishindo pale Kilosa mbele ya mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli.
Prof. Ndalichako na Dr Mpango wako Kigoma wakihimiza shughuli za maendeleo na wote kwa nyakati tofauti walishatia nia kugombea ubunge huko waliko sasa.
Alhaj Bulembo aliyebahatika kuwemo bungeni yeye na binti yake Halima wote wakiwa wabunge wa viti maalumu ametangaza kustaafu ubunge.
Bulembo kwa sasa amejipa jukumu moja tu la kuhakikisha " Mkaza mwana" wake Zitto Kabwe harudi bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
mwanaume kama binti!Kumbe Bulembo alikuwa wa viti maalum!! Ndiyo maana alikuwa anashabikia ujinga!!!!!!
Mkuu, Bulembo si Mbunge wa Viti Maalum. Ni Mbunge wa kuteuliwa na Rais. Tafadhali rekebisha hapo.