johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenye macho haambiwi tazama......hatimaye swali la Dr Slaa He Lowassa no asset au liability limepata majibu. Tunakoelekea Chadema itabaki na Mbowe na wale binti wa Ndesamburo basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr slaa ndie anayetaka majibu mkuu naona unazidiwa na maradhi kila kukichwa!Poor you!
Ni "Jiwe" ndio liability kwa nchi na maendeleo ya nchi yako kwa ujumla kwani tunateketeza kodi kurudia chaguzi huku hospitali hazina hata madawa, nchi imejaa madeni, n.k,
Isitoshe, mkakati huu hauisadi CCM kwasababu wanaohama ni mercenaries na sio wananchi (wapiga kura).
Kwa ujinga wenu ,ndio maana hata kwenye makinikia wanaume waliwajaza vitumbo
Jibu swali moja lowasa ni asset au liability?aPoor you!
Ni "Jiwe" ndio liability kwa nchi na maendeleo ya nchi yako kwa ujumla kwani tunateketeza kodi kurudia chaguzi huku hospitali hazina hata madawa, nchi imejaa madeni, n.k,
Isitoshe, mkakati huu hauisadi CCM kwasababu wanaohama ni mercenaries na sio wananchi (wapiga kura).
Kwa ujinga wenu ,ndio maana hata kwenye makinikia wanaume waliwajaza vitumbo
Nasikia Ole Milya amekirudia Chama Dume!Poor you!
Ni "Jiwe" ndio liability kwa nchi na maendeleo ya nchi yako kwa ujumla kwani tunateketeza kodi kurudia chaguzi huku hospitali hazina hata madawa, nchi imejaa madeni, n.k,
Isitoshe, mkakati huu hauisadi CCM kwasababu wanaohama ni mercenaries na sio wananchi (wapiga kura).
Kwa ujinga wenu ,ndio maana hata kwenye makinikia wanaume waliwajaza vitumbo
CHAMA dume huku kinaogopa sanduku la kura?Nasikia Ole Milya amekirudia Chama Dume!
Angekuwaje balozi kama haungi mkono!Kwa hiyo angekuwa ni Dk Slaa ndiyo angewazuia watu kufanya kile wanachokiita "kuunga mkono" juhudi za Rais meanwhile hata yeye Dk Slaa ameshaunga tayari?
Wamevurugwa!Chadema hawajielewi..period!
Ameshaunga mkono kwani mimi nimesemaje?Angekuwaje balozi kama haungi mkono!
Ukonga ulikuwepo?!CHAMA dume huku kinaogopa sanduku la kura?
HahahaaaaaKwa hiyo angekuwa ni Dk Slaa ndiyo angewazuia watu kufanya kile wanachokiita "kuunga mkono" juhudi za Rais meanwhile hata yeye Dk Slaa ameshaunga tayari?
Jibu swali moja lowasa ni asset au liability?a
Mimi na chadema lakini nalaani upuuzi amboa tuliufanya 2015 nauliza tena lowasa ni asset au liability?NEC inayo majibu mazuri ya swali lako, na Dr mihogo anajua pia, unajua kwanini NEC hawataki wawakilishi wa upinzani katika talling center,.simply ni wezi, wakisaidiwa na tiss,jwtz na ndugu zeni wa damu police.