kuna siri nyuma ya pazia...ila chamsingi ambacho tuna kihofia kama muungano hautakuwepo ni Usalama wa Tanganyika utakuwa mdogo sanawana JF, naomba maoni yenu juu ya huu muungano. zanzibar wamejitangaza ni nchi, kama ni hivyo vipi wabunge kutoka nchi nyingine waje kuwakilisha tena kwenye bunge letu la bara mantiki yake ni nini?? mbona hakuna wabunge kutoka nchi ya bara kwenye bunge la znz au serikali ya smz?? faida ya muungano ni nini hasa kwa bara na muungano??
wana JF, naomba maoni yenu juu ya huu muungano. zanzibar wamejitangaza ni nchi, kama ni hivyo vipi wabunge kutoka nchi nyingine waje kuwakilisha tena kwenye bunge letu la bara mantiki yake ni nini?? mbona hakuna wabunge kutoka nchi ya bara kwenye bunge la znz au serikali ya smz?? faida ya muungano ni nini hasa kwa bara na muungano??
hakuna nchi ya Bara...kuna jamuhuri ya Muungano wa Tanzania... Suali la kuuliza kwanini Tanganyika haipo wakati Zanzibar ipo baada ya Muungano?wana JF, naomba maoni yenu juu ya huu muungano. zanzibar wamejitangaza ni nchi, kama ni hivyo vipi wabunge kutoka nchi nyingine waje kuwakilisha tena kwenye bunge letu la bara mantiki yake ni nini?? mbona hakuna wabunge kutoka nchi ya bara kwenye bunge la znz au serikali ya smz?? faida ya muungano ni nini hasa kwa bara na muungano??
hilo ndilo jambo la msingi mnoo! Maana naona kama fulani ana haki ya kujiita nchi, anayo bendera yake, wananchi wake wana vitambulisho na nyimbo yake lakini sie wa Jamhuri ya Muungano tunaojidai kusahau Utanganyika wetu tu kimya tuu.! Wabunge kama wawakilishi wetu lazima waweke msimamo juu ya hilo.. Unajua kuna vitu vinachekeshaa...hakuna nchi ya Bara...kuna jamuhuri ya Muungano wa Tanzania... Suali la kuuliza kwanini Tanganyika haipo wakati Zanzibar ipo baada ya Muungano?