My friend, hapo hakuna mtu, yote hayo ni machawa. Yakiitwa kwenye hizo kamati zao yataomba radhi. Takataka!Musukuma: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi awadhibiti Mawaziri, Wabunge na Wawakilishi wake waache ubaguzi, mbona Wazanzibari wanatibiwa Tanganyika.
Waitara: Mbunge kutoka Zanzibar aliyesema kuna Yuda afukuzwe bungeni na amtaje Yuda ni nani.
Kuna mbunge mwingine kasema vijana wa Zanzibar na Tanganyika wafundishwe uzalendo.
Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua
Je, ni mwanzo wa Watanganyika kuamka?
Haya yangetamkwa na wabunge wa upinzani ndani ya bunge halali yangekuwa na maana kubwa sana.. Lakini haya masisiemu huishia kubweka tu na hayakawii kukana matamshi yaoMusukuma: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi awadhibiti Mawaziri, Wabunge na Wawakilishi wake waache ubaguzi, mbona Wazanzibari wanatibiwa Tanganyika.
Waitara: Mbunge kutoka Zanzibar aliyesema kuna Yuda afukuzwe bungeni na amtaje Yuda ni nani.
Kuna mbunge mwingine kasema vijana wa Zanzibar na Tanganyika wafundishwe uzalendo.
Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua
Je, ni mwanzo wa Watanganyika kuamka?
Hizi danganya toto usiwaaminiMusukuma: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi awadhibiti Mawaziri, Wabunge na Wawakilishi wake waache ubaguzi, mbona Wazanzibari wanatibiwa Tanganyika.