Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Sawasawa endelea kuwa Mzalendo na daima taanguliza Maslai ya Tanzania ya leo na kesho
 
Ninasomaga sana comments zako unawashabikia nyumbu wa chadema
(1) kusgabiia CCM sio kipimo cha Uzalendo
(2) Ninayo haki kutoa maoni yangu,l na kushabikia Chama chochote kwa mujibu wa Ibara 18. (1) ya Katiba ya JMT " Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari za dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana Uhuru wa mawasiliano
yake kutoingiliwa kati."
 
Basi sawa umeshinda wewe chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…