Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Mbona kipindi cha JPM hukuleta uzi kama huu? Au ndio mambo 6a kuchutama😜!
 
Kwahiyo kumpiga Lissu risasi ni kwa manufaa ya taifa? Kumuua Akwilina ni kwa manufaa ya taifa?
Wewe endelea kutafsiri stori za google, haya mengine yanakuzidi uwezo.
Kwa TL kupigwa inaweza kuwa ni kwa maslahi ya Mboe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…