Nimeangalia cv nyingi za wabunge wetu zinaonyesha wengi wao wamewahi kuwa walimu.Lakini cha kusikitisha wanasahau walikotoka kwa sababu ni wachache wanaosimama na kumtetea mwalimu kwa dhati kabisa.Naomba kila mbunge ambaye aliwahi kuwa mwalimu atakayesoma ujumbe huu nafsi yake imsute.