Wabunge wa tanzania

Luraja

Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
27
Reaction score
4
Nimeangalia cv nyingi za wabunge wetu zinaonyesha wengi wao wamewahi kuwa walimu.Lakini cha kusikitisha wanasahau walikotoka kwa sababu ni wachache wanaosimama na kumtetea mwalimu kwa dhati kabisa.Naomba kila mbunge ambaye aliwahi kuwa mwalimu atakayesoma ujumbe huu nafsi yake imsute.
 

Kwa kuangalia thread yako nadhani wewe ni mwalimu. Sasa nakutoa wasiwasi kwani humu tuna wabunge wengi ambao ni members wenzetu na kwa kuwa wanataka kurudi mjengoni wamekusikia na watafanyia kazi. Wanadamu hujisahau mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…