Ikumbukwe kuwa wakati hayati JPM alipokuwa anazindua daraja la Kijazi Ubungo aliahidi kuanza na ujenzi wa barabara za Kimara lakini mpaka sasa hakuna barabara moja iliyotengenezwa. Ukienda Temeke lami au zege mpaka vichochoroni. Kwa kimara kuna barabara nyingi mbovu sana tena sana ila baadhi ni:
1. Kimara mwisho kwenda Goba kupitia kwa Ndevu.
2. Suka kwenda Golani
3. Temboni kwenda Goba kupitia kituo cha polisi Temboni
4. Temboni kwenda saranga
Ni muda mrefu sana hawa wabunge wamekuwa wakiahidi kuwa mwaka huu wa fedha barabara zitajengwa kwa kiwango cha lami mwaka unaisha hakuna hata kifusi. Mwaka unaofuata ahadi hiyo hiyo.
Sasa kama wanashindwa kuwahudumia wananchi na kuwapa ahadi za uongo watafaa kuendelea 2025?
Nawaomba wajipime kwa hilo tu.