Wabunge wa Uganda wanataka Kuamua Mashoga Wafungwe Maisha au Wanyongwe kabisa, nasubiria kusikia Wabunge wa Tanzania nao Wataamua vipi

Yaaaaani sema tu ni ina mb nyingi jaman polisi mume wa mtu πŸ˜…πŸ˜… nae anaikatikia imagine
He he heee, mume wa mtu nae ana mke wake...balaa hili.
Halafu tukisema The future is Female wanabisha.
 
He he heee, mume wa mtu nae ana mke wake...balaa hili.
Halafu tukisema The future is Female wanabisha.
The future is female haswa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mume wa mtu nae ni mke wa mtu
 

Huku tz hawana kiongozi wenye ujasiri huo,watakufa njaa hao vibaraka walioshindwa kuendesha nchi bila misaada.
 
Mtaua anayefanyiwa au anayemfanyia??
 
Mimi ntakuwa msadizi wako siku kama Kuna kazi kama hizi waniajirie
 

mbona nchi yako Rwanda mashoka wamejaa si uende huko
 
Hakuna dhambi kubwa wala ndogo.Sisi wanadamu sio jukumu letu kuhukumu na kukatisha uhai wa wenye dhambi ya ushoga na kusagana. Ni kuwaombea tu hao mashoga wabadilike.

Kuna wengine wanatamani kutoka ila kuna sababu zinazowakwamisha. Waziri D.Gwajima aunde hata udara au kitengo cha kuwakwamua.

Pia jamii zetu tuangalie mambo yanayopelekea kushamiri hivi vitendo vya ushoga na kutafuta suluhu. Kuwe walau na semina za malezi ya familia kwa ngazi ya serikali ya mtaa ili kupeana mbinu za kutambua viashiria vya ushoga ndani ya familia na jamii zinazotuzunguka pamoja na mikakati ya kutokomeza hizi tabia.

Sheria kali zitungwe kwa wanaolawiti watoto na wanaoeneza ushoga mtandaoni.

Ushoga sio tamaduni za mwafrika. Ni tamaduni za wazungu na waarabu. Tunaweza kupambana nao ili kuwasaidia watanzania wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…