tuko na kalam zenye camera 6.7 na wi-fi na zinarusha live
swissme
pumba tupu.Aluu, hongereni! Mko juu! Wasaidieni wananchi jimboni kwenu kuwa juu kama nyie kwa vitendo. Mtapendwa na hata kubebwa kuliko uvuvuzela kwenye mjengo. Japo unapotoka mjengoni urudi jimboni kuendeleza uvuvuzela huo kwa njia nyingine km kuhamasisha. Naamini watakurudisha mjengoni 2020. Mh Mbatia juzi katembelea eneo lililokumbwa na maporomoko ya mvua na kuwaasa wananchi wake akioneshwa kwenye TV. Huo ndo wajibu wa Mbunge yeyote. Dole juu Mh Mbatia.