Uchaguzi 2020 Wabunge wa upinzani watakaorudi mjengoni

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo.

1.John heche.
Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa hoja zake kuntu nina uhakika wanatarime hawawezi muacha MTU kama huyu..heche lazima arudi kivyovyote vile.

2.Sugu.
Wanambeya lazima wamurudishe sugu mjengoni kwa hali na Mali..tulia utapelea sana hapa.

3.Joseph haule(prof j)
Huyu pia atarud lazima.....

Ila kwa uraisi magufuri lazima apite kwa asilimia 80% mtasema wenyewe.

Wabunge wengine wa upinzani sizani kama wataweza kurud kwa hali ninavyoiona.

Karibuni!.
 
Kama kuna uchaguzi wa kweli utakutana usiyotarajia. Lakini kama huu ushenzi wa kubaka box la kura chini ya awamu ya tano, tusitarajie lolote la maana zaidi kuona uchaguzi wa kipuuzi.
 
Matiko, Bulaya, Mdee, Mnyika, Lema, Mbowe, Msigwa, Sugu, Heche, Pro J, na wengine kibao kumbuka majimbo kama bukoba, nyamagana, msoma mjini, hayarudishagi wabunge. so tegemea kuna majimbo mengi mapya yatachukuliwa na upinzani. hata Dodoma Mjini uchaguzi uwe huru tu
 
Musoma mjini? mbna awamu hii aliepo hana mpinzani. hiyo futa, kwa mara ya kwanza ndo rekodi inavunjwa, lkn kama atagombea Anton Mtaka, ndo atakuwa na shughuli kwenye kura za maoni lkn kwa walioopo, hana mpinzani kwa sasa mkuu! Kumbuka hata Vincent Nyerere wa Cdm alishakimbilia Butiama, sijui atagombea kwa tiket ya ccm, tusubir!
Matiko, Bulaya, Mdee, Mnyika, Lema, Mbowe, Msigwa, Sugu, Heche, Pro J, na wengine kibao kumbuka majimbo kama bukoba, nyamagana, msoma mjini, hayarudishagi wabunge. so tegemea kuna majimbo mengi mapya yatachukuliwa na upinzani. hata Dodoma Mjini uchaguzi uwe huru tu
 
Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo.

1.John heche.
Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa hoja zake kuntu nina uhakika wanatarime hawawezi muacha MTU kama huyu..heche lazima arudi kivyovyote vile.

2.Sugu.
Wanambeya lazima wamurudishe sugu mjengoni kwa hali na Mali..tulia utapelea sana hapa.

3.Joseph haule(prof j)
Huyu pia atarud lazima.....

Ila kwa uraisi magufuri lazima apite kwa asilimia 80% mtasema wenyewe.

Wabunge wengine wa upinzani sizani kama wataweza kurud kwa hali ninavyoiona.

Karibuni!.
Kuna udikteta mwingi sana Tz tumekuwa kama Sudani ya Kusini.
 
Matiko, Bulaya, Mdee, Mnyika, Lema, Mbowe, Msigwa, Sugu, Heche, Pro J, na wengine kibao kumbuka majimbo kama bukoba, nyamagana, msoma mjini, hayarudishagi wabunge. so tegemea kuna majimbo mengi mapya yatachukuliwa na upinzani. hata Dodoma Mjini uchaguzi uwe huru tu
Bulaya, ana kazi kweli
 
Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo.

1.John heche.
Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa hoja zake kuntu nina uhakika wanatarime hawawezi muacha MTU kama huyu..heche lazima arudi kivyovyote vile.

2.Sugu.
Wanambeya lazima wamurudishe sugu mjengoni kwa hali na Mali..tulia utapelea sana hapa.

3.Joseph haule(prof j)
Huyu pia atarud lazima.....

Ila kwa uraisi magufuri lazima apite kwa asilimia 80% mtasema wenyewe.

Wabunge wengine wa upinzani sizani kama wataweza kurud kwa hali ninavyoiona.

Karibuni!.
"Sizani" ndio!????
 
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, wabunge wengi wa upinzani watarudi na wengine zaidi watakaongezeka bungeni.kwisha.
 
Imbonerakuleeeeeeeeee!!!!!! Copy & paste!!!😂😂😂😂🤩🤩🤩🤩😂😂😂😁😁😁😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom