pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo.
1.John heche.
Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa hoja zake kuntu nina uhakika wanatarime hawawezi muacha MTU kama huyu..heche lazima arudi kivyovyote vile.
2.Sugu.
Wanambeya lazima wamurudishe sugu mjengoni kwa hali na Mali..tulia utapelea sana hapa.
3.Joseph haule(prof j)
Huyu pia atarud lazima.....
Ila kwa uraisi magufuri lazima apite kwa asilimia 80% mtasema wenyewe.
Wabunge wengine wa upinzani sizani kama wataweza kurud kwa hali ninavyoiona.
Karibuni!.
Matiko, Bulaya, Mdee, Mnyika, Lema, Mbowe, Msigwa, Sugu, Heche, Pro J, na wengine kibao kumbuka majimbo kama bukoba, nyamagana, msoma mjini, hayarudishagi wabunge. so tegemea kuna majimbo mengi mapya yatachukuliwa na upinzani. hata Dodoma Mjini uchaguzi uwe huru tu
Kuna udikteta mwingi sana Tz tumekuwa kama Sudani ya Kusini.Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo.
1.John heche.
Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa hoja zake kuntu nina uhakika wanatarime hawawezi muacha MTU kama huyu..heche lazima arudi kivyovyote vile.
2.Sugu.
Wanambeya lazima wamurudishe sugu mjengoni kwa hali na Mali..tulia utapelea sana hapa.
3.Joseph haule(prof j)
Huyu pia atarud lazima.....
Ila kwa uraisi magufuri lazima apite kwa asilimia 80% mtasema wenyewe.
Wabunge wengine wa upinzani sizani kama wataweza kurud kwa hali ninavyoiona.
Karibuni!.
Bulaya, ana kazi kweliMatiko, Bulaya, Mdee, Mnyika, Lema, Mbowe, Msigwa, Sugu, Heche, Pro J, na wengine kibao kumbuka majimbo kama bukoba, nyamagana, msoma mjini, hayarudishagi wabunge. so tegemea kuna majimbo mengi mapya yatachukuliwa na upinzani. hata Dodoma Mjini uchaguzi uwe huru tu
"Sizani" ndio!????Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo.
1.John heche.
Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa hoja zake kuntu nina uhakika wanatarime hawawezi muacha MTU kama huyu..heche lazima arudi kivyovyote vile.
2.Sugu.
Wanambeya lazima wamurudishe sugu mjengoni kwa hali na Mali..tulia utapelea sana hapa.
3.Joseph haule(prof j)
Huyu pia atarud lazima.....
Ila kwa uraisi magufuri lazima apite kwa asilimia 80% mtasema wenyewe.
Wabunge wengine wa upinzani sizani kama wataweza kurud kwa hali ninavyoiona.
Karibuni!.
Hata kwa viti maalumu atarudi.Bulaya, ana kazi kweli