johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Najiuliza tu bwashee!
Kwa viti maalum mchakato wa ccm ni mgumu sana kulingamisha na ule wa cdm au cuf, wanajua wakipoteza upande hup, ccm hawatavuka viunzi, ni wamesoma alama za nyakatiSijasikia mbunge yoyote wa viti maalum kutoka CHADEMA au CUF aliyehamia CCM, ndipo sasa najiuliza why?
Yawezekana sijafuatilia vizuri, mwenye pingamizi Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Kafulila anaenda kumpumzisha!Mtoa mada Msalimie sana Husba Mwilima. Huyu Mbunge ni wa chama chetu ambaye huwa ananogesha matukio mbalimbali. Anatufaa
Safi sana.Kafulila anaenda kumpumzisha!