Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa CHADEMA kuongoza Kamati za kudumu za Bunge ikiwemo PAC na LAAC

Hongera kwa Chadema kwa wabunge wao kunyakua nafasi za kamati kwenye Bunge letu tukufu.
 
Kwamba wanaume wao ni wa kuwaamini?
 
Spika asiyeheshimu matakwa ya katiba na sheria?

Jambo la hao COVID 19 linajulikana hadharani kuwa wamefukuzwa uanachama.
Kwa mtaji huu siwezi kuweka neno. Endelea hivyo hivyo
 
Ushenzi wa awamu ya magu.
 
Ni kweli.Japo ni sheria hizo kamati kuongozwa na wabunge wa upinzani.
 
Umepatia. Hii ngoma ni ya watoto. Haitakesha. It's short living.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…