V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,183 Reaction score 1,322 May 28, 2021 #1 Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
Kinuju JF-Expert Member Joined Mar 20, 2021 Posts 2,386 Reaction score 5,325 May 28, 2021 #2 Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua zaidi ya billioni 1 ndani ya miezi mitatu. Doto James arejeshwe
Pay master wa wizara ya fedha ambaye ni mchaga amekwapua zaidi ya billioni 1 ndani ya miezi mitatu. Doto James arejeshwe