johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo la majimboni ni wapiga kura wenyewe na aina ya maisha yao.Sio hao tu, hata baadhi ya wabunge wenye majimbo ambao hawana tija yoyote bungeni iwe wa CCM au upinzani nao wanatakiwa kupisha waje watu wenye weledi na kuisimamia serikali kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Kweli huo mtanange ni kama Kuku na Yai.Tatizo la majimboni ni wapiga kura wenyewe na aina ya maisha yao.
Mtera kwa mfano Kibajaji vs Le mutuz......wapiga kura wanafanyaje hapo?
Kutafuta majimbo ndio mpango mzima!Sasa kina Cathy,na bi Angela itakuaje
Kutafuta majimbo ndio mpango mzima!Sasa kina Cathy,na bi Angela itakuaje
Aina ya akina Dr Tulia Ackson.......na wako wengi tu CCM!Wenye maono ndio kina nani
Kama wapiga kura watamvhagua fala hiyo ni Demokrasia yao itaheshimiwa!Kwahyo Mafala Wapewe Majimbo Wenye Akili Wawe Viti Maalumu? ubunge tunatakiwa kupeleka angalau form 6, au wanasheria wachumi na wanadiplomasia. otherwise sheria mbovu zitatutesa miaka mingi.
Watachagua kura za hapana,wote wawili ni mbululazTatizo la majimboni ni wapiga kura wenyewe na aina ya maisha yao.
Mtera kwa mfano Kibajaji vs Le mutuz......wapiga kura wanafanyaje hapo?
Ameonekana huko Mbeya akila miwa mitaani...... Labda ndio analiwahi jimbo la Silinde!Mleta mada utasababisha juliana shonza asilale leo kwa mawazo
🤣🤣🤣 Kwao ni Songwe huko, afanye kukodi shamba kwa ajili ya msimu ujao maana picha ya viti maalum imeshaungua.Ameonekana huko Mbeya akila miwa mitaani...... Labda ndio analiwahi jimbo la Silinde!