Wabunge wa Yanga walipa Goli 5 za Simba

Leo tumeona kupatwa kwa Ngoma na Tambwe...chezea Dk Tiboroha wewe

Alipoondoka Yanga, timu ikapokea kichapo cha bao mbili za nguruwe mzee Tanga, msimu huu amehamia Stand United amewashushia kipigo cha bao moja la nguruwe kijana....
 
Mkuu Simba hakai mjini! Huko mikoani ndio kwetu tunapapenda sana
Tusubiri msije Anza kusema Tff anawabeba Yanga tukianza kula kuku kwa mrija pale taifa..
 
Mnapiga kelele saana, Tarehe 1 October mtanyamaza tu... Yanga itashuka kwa hasira zoote kushusha kipigo kitakatifu....
 
Kama mnadhani simba hii ni ya msimu uliopita,endeleeni kuota.Njooni na matokeo yenu uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…