Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Inawezekanaje mbunge achaguliwe kwenda tu Bungeni kulala kwa miaka yote mitano bila kuleta athari yeyote halafu eti apate tena fursa ya kugombea na kurudi tena bungeni miaka mingine mitano na kadhalika?
Kuna haja ya kuwafanyia wabunge 'Continuous Assesment' kwa mchango wao wanaotoa bungeni, hii assessment ndiyo itumike kuamua kama mbunge husika anafaa kurudi bunge lifuatalo au la!
Ni hivyo tu wadau!
Kuna haja ya kuwafanyia wabunge 'Continuous Assesment' kwa mchango wao wanaotoa bungeni, hii assessment ndiyo itumike kuamua kama mbunge husika anafaa kurudi bunge lifuatalo au la!
Ni hivyo tu wadau!