Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Feb 12, 2025 #1 Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID). Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika Your browser is not able to display this video.
Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la Misaada la Marekani (USAID). Soma Pia: Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 12, 2025 #2 Nafasi zimejaa... Cc: Mahondaw
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 12, 2025 #3 Sawa sawa wapewe nafasi
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 16,078 Reaction score 77,186 Feb 12, 2025 #4 Smart911 said: Nafasi zimejaa... Cc: Mahondaw Click to expand... Hatujakuzoea hivi mkuu. Hii roho umeipata wapi?
Smart911 said: Nafasi zimejaa... Cc: Mahondaw Click to expand... Hatujakuzoea hivi mkuu. Hii roho umeipata wapi?
one wisow JF-Expert Member Joined Sep 9, 2019 Posts 1,303 Reaction score 1,901 Feb 12, 2025 #5 Hao washavuna mapato ya kutosha . Kazi wapewe vijana wapya walotoka vyuoni hao wazee wa USAID watumie Mafao yaona vinegar uchumi vyao kujikimu kimaisha
Hao washavuna mapato ya kutosha . Kazi wapewe vijana wapya walotoka vyuoni hao wazee wa USAID watumie Mafao yaona vinegar uchumi vyao kujikimu kimaisha
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 4,240 Reaction score 10,561 Feb 12, 2025 #6 Walikuwa wamelundikana huko ma-hospitalini walikuwa wanafanya ujinga ujinga tu.. πππ
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 399 Reaction score 992 Feb 12, 2025 #8 Mfuko wetu wa NSSF uta shake kidogo maana hela zitatoka nyingi sana mwaka huu.
pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Feb 12, 2025 #9 Swahili AI said: View attachment 3234695 Click to expand... Democrats wakiona hivi wanataka kupasuka
Magulumelafulu JF-Expert Member Joined Jul 8, 2021 Posts 495 Reaction score 602 Feb 12, 2025 #10 Kwa hiyo wanapokea simu muda huu