Wabunge wakivuliwa uanachama wanaendelea na Ubunge ila Makamu aaaaa!

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Sheria ya nchi hii kwasasa inatafsiriwa kulingana ni nani anatakiwa kuhukumiwa.

Kangarooo. Mwanasheria Mkuu Leo anatafsiri vitu almradi tu Nchimbi awe na hatua.

CCM kajifunzeni CHADEMA tangu enzi za Zitto, Arfi na Prof Safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…