Nakumbuka ile serengeti ya 2019 ilikuwa nzuri kuliko hata hii...ikiwa chini ya Oscar Mirambo......ikiwa na akina Kelvin John, Maurice Abraham, Alphonce Mabula nk.
Ikiwa Camp kule Rwanda, ilifanya vizuri sana kwenye zile friendlies zake.
Iliifunga hata Cameron ambayo baadae ilikuja kubeba ubingwa kwenye ardhi ya Tanzania.
Baasi, Kwasab za hamasa na ahadi hizihizi vijana walivurugwa kabisa, walipoteana utafikiri sio walee.
As a result, Serengeti ilifungwa mechi zake zote za group A. kipindi hicho uwanja wetu unaitwa kwa mchina.