Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wakiwasili bungeni Jijini Dodoma tayari kwa kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa 16 wa Bunge.Miongoni mwa mambo yatakayoenda kujadiliwa leo Agosti 30, 2024 ni kujadiliwa kwa Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa watoto wa mwaka 2024 ambapo wabunge watapa nafasi ya kutoa maoni yao juu ya muswada huo.
Vilevile, Muswada huo utasomwa kwa mara ya pili na mara ya tatu kabla ya kupitishwa kwake