Elections 2010 wabunge waliobwagwa waende Chadema!

Elections 2010 wabunge waliobwagwa waende Chadema!

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
741
Si wabunge wote nawaongelea hapa, Mbunge kama Sleeliii, Kimaro na wengine, natamani wajiunge na kambi ya Dr.slaa. kwanini wasikaribishwe?...na, nimefurahi sana kwa malecela na bakari mwampachu kupigwa chini...yaani nilifurai mno, pamoja na yule jamaa wa ulanga, jamaa wa best practice....hahaha, chaliiiii.....futilia mbali hadi tuwasahau kabisa kama walishawahi kuexist..
 
Back
Top Bottom