Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Miaka ya 80 kulikuwa na huu wimbo maarufu Sana " ndugu yangu usisahau unapokweendaa VILEVILE UKUMBUKE ULIPOTOKA*"
Sijui muimbaji alimaanisha Nini lakini naomba nitumie maneno ya wimbo huo kuwaasa wabunge waliokuwa chadema na kuhamia CCM eti wanaenda kuunga mkono juhudi.
Hameni kwa heshima bila kunyea kambi wapare wanamsemo unaosema usinyee kambi kabla mvua haijakatika
Usiku mwema
Kila la heri huko muendako muda utaongea.