Elections 2010 Wabunge walioonyesha maendeleo kwenye majimbo yao

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Posts
899
Reaction score
1,103
1.dr slaa maji barabara vitongoji mpaka vijiji, 2, desamburu, mji kuwa msafi na wananchi kuwa na uelelwa wa mazingira yao, 3. wananfunzi wa masekondari kusoma buree kutokana na rasilimali za eneo husika barabara kigoma kaskazini. 4 halima mdee mtetezi wa kawe kwenye kiwanda cha tanganyika pekaz akamfunika mbunge wa jimbo hilo aliyopo kama mzigo, ana kilago barabara kweny baadhi ya maeneo ya jimbo lake, plz plz na wewe weka wako watano then tufanye tadhimini kuwa nani ninani kwa mwenzake na taifa:angry:
 
Wewe unajua kazi/wajibu wa mbunge!

kazi ya mbunge siyo kujenga barabara,shule kwa fedha zake

ungewasema Karamagi,Lowasa na Rostam ningekuelewa kwani ndiyo wabunge wenye UHAKIKA wa kuchaguliwa tena 2010,Kama unabisha tutunze hii thread hadi kutangzwa kwa matokeo.

heko Kara,Lowa na Rosi kwa kuiletea maendeleo TANZANIAAAAA!
 
Kama TAKUKURU haikuwa inapata amri za utendaji kazi wake toka ikulu , mimi naamini kabisa Lowassa, Rostam na Karamagi wamgekamatwa kwa kutoa rushwa wakati wa uchaguzi mwezi wa kumi ;kwani haiwezekani hawa jamaa kushinda bila kutumia fedha!!
 
1.dr slaa maji barabara vitongoji mpaka vijiji, 2, desamburu, mji kuwa msafi na wananchi kuwa na uelelwa wa mazingira yao, 3. wananfunzi wa masekondari kusoma buree kutokana na rasilimali za eneo husika barabara kigoma kaskazini. 4 halima mdee mtetezi wa kawe kwenye kiwanda cha tanganyika pekaz akamfunika mbunge wa jimbo hilo aliyopo kama mzigo, ana kilago barabara kweny baadhi ya maeneo ya jimbo lake, plz plz na wewe weka wako watano then tufanye tadhimini kuwa nani ninani kwa mwenzake na taifa:angry:

threasd nzuri lakini umekua na bias from post #1... ni sawa na kuweka chumvi kwenye chai.... ungeanza ukiwa neutral
 
1.dr slaa maji barabara vitongoji mpaka vijiji, 2, desamburu, mji kuwa msafi na wananchi kuwa na uelelwa wa mazingira yao, 3. wananfunzi wa masekondari kusoma buree kutokana na rasilimali za eneo husika barabara kigoma kaskazini. 4 halima mdee mtetezi wa kawe kwenye kiwanda cha tanganyika pekaz akamfunika mbunge wa jimbo hilo aliyopo kama mzigo, ana kilago barabara kweny baadhi ya maeneo ya jimbo lake, plz plz na wewe weka wako watano then tufanye tadhimini kuwa nani ninani kwa mwenzake na taifa:angry:

Ukisikia mahaba ya wazi wazi ndo haya....lol
 
Hawa wabunge ni maarufu sana kama wanavyosema kuwa maji barabara wameimarisha maeneo na wana mafwesa kinoma.LAKIN JAMani hata Lukuvi ni nusu mungu kule isman tunawapa hongera
 
Hivi jamani hii verdict imetokana na analysis ya kina na ambayo ni objective. Ninavyoamini mimi ni kwamba bila kutengeza vigezo ambavyo ni uniform kwa utendaji wa mbunge, chochote kitakachotolewa humu itakuwa ni maoni ambayo ni very subjective na yasiyo na maana yoyote kwa sababu kila mtu ata-pick mbunge wake kwa vile anaona au amesikia kuna kitu amekifanya bila kujua kwamba na yeye ana failures zake. Siiungi mkono thread hii ambayo kimsingi ni upigaji ramli!
 
ungekuwa muelewa ungeiunga mkono kwani haya ni maoni na vile vile yanaweza kueleweka kuliko unavyo dhani weka wako watano then wasdhushie uyaonayo kwao kuwa bora then utaona tathimini itakuwaje nitakayo rudi nayo hapa
 
Mzee Mkono

Well hela alizolipwa na BOT 8billion legal fees na kesi yake nyingine moja anadai 15 billion..atashindwa kuwajengea wamskini wa musoma vishule vya million 700 viwili.. Its no biggie, mimi ningejenga watoto wasome bure mpaka wajukuu zao. Wizi unatwists and turns nyingi sana..
 
dat is da true ut unapaswa kuzingatia mada inasemaje, then shuka wako watano
 
kwani kazi hasa za mbunge ni zipi si dhani kama vigezo alivyotumia mtoa mada ni sahihi
 
Tusikilize sera tuache kushabikia baadhi ya wabunge wako wengi jamani vijana tujiandikishe kwa wingi na kwa wale wenye uwezo wa kugombea wajitokeze nchi ipate mabadiliko.sio kwamba wazee hawawezi ila vijana wanaweza zaidi.
 
dat is da true ut unapaswa kuzingatia mada inasemaje, then shuka wako watano
kilewo tatizo si kuorodhesha tu majina ya wabunge acha watoa hoja waseme kwanini wanaona fulani anafaa au hawafai vinginevyo mimi nikitaja mbunge fulani anafaa bila kueleza amefanya nini haikuwa na maana yeyote.
 
kwani kazi hasa za mbunge ni zipi si dhani kama vigezo alivyotumia mtoa mada ni sahihi

kuwa muelewa,kama unaufahamu wa kutosha utagundua mtoa mada anazungumzia maendeleo kwa ujumla, mbayo mbunge alikuwa anapaswa kuwasemea wananchi wa sehemu husika na kuweza kutatua kero zao
 
kilewo tatizo si kuorodhesha tu majina ya wabunge acha watoa hoja waseme kwanini wanaona fulani anafaa au hawafai vinginevyo mimi nikitaja mbunge fulani anafaa bila kueleza amefanya nini haikuwa na maana yeyote.

ok, luteni toa tathimini ni weze kurudi na tadhimini ya maoni ya waliyo wengi
 
Hawa wabunge ni maarufu sana kama wanavyosema kuwa maji barabara wameimarisha maeneo na wana mafwesa kinoma.LAKIN JAMani hata Lukuvi ni nusu mungu kule isman tunawapa hongera

lukuvi ni nusu-muungu isimani kwasababu wahehe wa kule hawana uelewa wa chochote, ismani imejaa mavumbi,..ulishawahi kufika ismani mkuu, kuna umasikini wakufa mtu...yeye ni mkuu wa mkoa wa dar, alikuwa wa dodoma, atawatembelea lini wananchi wake? hana lolote muhehe huyu...(by the way, wahehe ni watani zangu, naweza kuongea vyovyote kuhusu kabila hili, tunajuana).
 
Wewe unajua kazi/wajibu wa mbunge!

kazi ya mbunge siyo kujenga barabara,shule kwa fedha zake

ungewasema Karamagi,Lowasa na Rostam ningekuelewa kwani ndiyo wabunge wenye UHAKIKA wa kuchaguliwa tena 2010,Kama unabisha tutunze hii thread hadi kutangzwa kwa matokeo.

heko Kara,Lowa na Rosi kwa kuiletea maendeleo TANZANIAAAAA!

Kumbe kaka wewe rahisi kudanganywa na pipi eee?
 
Back
Top Bottom