Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,103
1.dr slaa maji barabara vitongoji mpaka vijiji, 2, desamburu, mji kuwa msafi na wananchi kuwa na uelelwa wa mazingira yao, 3. wananfunzi wa masekondari kusoma buree kutokana na rasilimali za eneo husika barabara kigoma kaskazini. 4 halima mdee mtetezi wa kawe kwenye kiwanda cha tanganyika pekaz akamfunika mbunge wa jimbo hilo aliyopo kama mzigo, ana kilago barabara kweny baadhi ya maeneo ya jimbo lake, plz plz na wewe weka wako watano then tufanye tadhimini kuwa nani ninani kwa mwenzake na taifa:angry:

Hivi jamani hii verdict imetokana na analysis ya kina na ambayo ni objective. Ninavyoamini mimi ni kwamba bila kutengeza vigezo ambavyo ni uniform kwa utendaji wa mbunge, chochote kitakachotolewa humu itakuwa ni maoni ambayo ni very subjective na yasiyo na maana yoyote kwa sababu kila mtu ata-pick mbunge wake kwa vile anaona au amesikia kuna kitu amekifanya bila kujua kwamba na yeye ana failures zake. Siiungi mkono thread hii ambayo kimsingi ni upigaji ramli!
Mzee Mkono
Well hela alizolipwa na BOT 8billion legal fees na kesi yake nyingine moja anadai 15 billion..atashindwa kuwajengea wamskini wa musoma vishule vya million 700 viwili.. Its no biggie, mimi ningejenga watoto wasome bure mpaka wajukuu zao. Wizi unatwists and turns nyingi sana..
kilewo tatizo si kuorodhesha tu majina ya wabunge acha watoa hoja waseme kwanini wanaona fulani anafaa au hawafai vinginevyo mimi nikitaja mbunge fulani anafaa bila kueleza amefanya nini haikuwa na maana yeyote.dat is da true ut unapaswa kuzingatia mada inasemaje, then shuka wako watano
kwani kazi hasa za mbunge ni zipi si dhani kama vigezo alivyotumia mtoa mada ni sahihi
kilewo tatizo si kuorodhesha tu majina ya wabunge acha watoa hoja waseme kwanini wanaona fulani anafaa au hawafai vinginevyo mimi nikitaja mbunge fulani anafaa bila kueleza amefanya nini haikuwa na maana yeyote.
Hawa wabunge ni maarufu sana kama wanavyosema kuwa maji barabara wameimarisha maeneo na wana mafwesa kinoma.LAKIN JAMani hata Lukuvi ni nusu mungu kule isman tunawapa hongera
Wewe unajua kazi/wajibu wa mbunge!
kazi ya mbunge siyo kujenga barabara,shule kwa fedha zake
ungewasema Karamagi,Lowasa na Rostam ningekuelewa kwani ndiyo wabunge wenye UHAKIKA wa kuchaguliwa tena 2010,Kama unabisha tutunze hii thread hadi kutangzwa kwa matokeo.
heko Kara,Lowa na Rosi kwa kuiletea maendeleo TANZANIAAAAA!