Wabunge waliopitisha Finance Bill Kenya Wanazomewa Makanisani, Misikitini na Masokoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimejipa likizo kufuatilia bunge la Bongo

Nimezipenda Siasa za Kenya Wabunge wa Kenya KWANZA wanaogopwa kama ukoma kwenye Jamii

Rais Ruto sasa awakumbatia Gen Z

Mlale Unono 😃😃😃
 
Likizo yako nimeifuta!!!! Bunge la hapa linajadili adhabu ya kumpa aliyesema "uongo" njooo ufuatilie usije sema ulikuwa likizo.
 
Wako vizuri sana wakenya. Siyo hizi mbwa za hapa bongo
 
Nimejipa likizo kufuatilia bunge la Bongo

Nimezipenda Siasa za Kenya Wabunge wa Kenya KWANZA wanaogopwa kama ukoma kwenye Jamii

Rais Ruto sasa awakumbatia Gen Z

Mlale Unono 😃😃😃
Mbona hilo ni simpo tuu Kule Cuba Jiwe ambaye alikuwa na makalatsi ya ukichaa alipitishwa na wajumbe na akawa Raisi ...acha ukuda wewe
 
Likizo yako nimeifuta!!!! Bunge la hapa linajadili adhabu ya kumpa aliyesema "uongo" njooo ufuatilie usije sema ulikuwa likizo.
Ndio navuka Namanga Muda huu tayari kuwashuhudia Gen Z hapo kesho mubashara 😂😂
 
Mbona hilo ni simpo tuu Kule Cuba Jiwe ambaye alikuwa na makalatsi ya ukichaa alipitishwa na wajumbe na akawa Raisi ...acha ukuda wewe
Kila mtu ni kichaa ndio maana tunavaa nguo zaidi ya Moja 🐼
 
Na wabunge waliomsulubu Luhaga Mpina leo huko mjengoni wapigwe mawe popote watakapoonekana
 
Back
Top Bottom