johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona hilo ni simpo tuu Kule Cuba Jiwe ambaye alikuwa na makalatsi ya ukichaa alipitishwa na wajumbe na akawa Raisi ...acha ukuda weweNimejipa likizo kufuatilia bunge la Bongo
Nimezipenda Siasa za Kenya Wabunge wa Kenya KWANZA wanaogopwa kama ukoma kwenye Jamii
Rais Ruto sasa awakumbatia Gen Z
Mlale Unono πππ
Ndio navuka Namanga Muda huu tayari kuwashuhudia Gen Z hapo kesho mubashara ππLikizo yako nimeifuta!!!! Bunge la hapa linajadili adhabu ya kumpa aliyesema "uongo" njooo ufuatilie usije sema ulikuwa likizo.
Kila mtu ni kichaa ndio maana tunavaa nguo zaidi ya Moja πΌMbona hilo ni simpo tuu Kule Cuba Jiwe ambaye alikuwa na makalatsi ya ukichaa alipitishwa na wajumbe na akawa Raisi ...acha ukuda wewe
Ulikuwa unataka kuvaa chupi ili ufiche kende tuu?? Nyie wafuasi WA kichaa Jiwe tabu tupuKila mtu ni kichaa ndio maana tunavaa nguo zaidi ya Moja πΌ