Uchaguzi 2020 Wabunge walioshindwa kuongoza kura za maoni ni wazembe kwa sababu ya ubahili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mtu unatoka bungeni ukiwa umekamilika na mzigo wako wa 200m+ kibindoni halafu kwenye kura za maoni unakuwa namba 3 huo ni uzembe uliotukuka.

Hata sheria na kanuni zitakucheka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wakati huo ccm ikiwa imeruhusu rushwa , kiukweli huu ni ujinga sana, unaachaje kugawa rushwa huku chama kikiwa kimeruhusu !
 
Rushwa ina tafsiri yake bwashee.

Huku zimeruhusiwa zawadi......hapo Chadema wabunge wenu wameutumia " mzigo" vizuri ukimtoa yule mpare wa Kibamba!
 
Yaan kirahisirahisi mjumbe aje akupe kura yake hata kifuta jasho Hana. Hata km ingekuwa mm ndio mjumbe walahi sikupi kura yangu bila kujiongeza kidogo. Umetoka na mamilion juzi juzi tu hapo afu unanijia na maneno matupu.
 
Hahahaaaa.......!
 
Back
Top Bottom