Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
MJAMZITO AZALISHWA NA WABUNGE: Wabunge watatu wa Kamati ya Afya nchini Uganda wamemsaidia mama mjamzito kujifungua katika kituo kimoja cha afya baada ya kumkuta mama huyo akiwa hana msaada wowote.
Wabunge hao waliokuwa ziarani wamefika katika kituo hicho na kumkuta mama huyo akisumbuliwa na uchungu wa kujifungua, huku kukiwa hakuna daktari wala muuguzi hata mmoja.