Wabunge wamsaidia Mama mjamzito kujifungua, wamkuta akiwa hoi bila ya msaada

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411

MJAMZITO AZALISHWA NA WABUNGE: Wabunge watatu wa Kamati ya Afya nchini Uganda wamemsaidia mama mjamzito kujifungua katika kituo kimoja cha afya baada ya kumkuta mama huyo akiwa hana msaada wowote.

Wabunge hao waliokuwa ziarani wamefika katika kituo hicho na kumkuta mama huyo akisumbuliwa na uchungu wa kujifungua, huku kukiwa hakuna daktari wala muuguzi hata mmoja.

 

Attachments

  • lhgfghj.jpg
    76.8 KB · Views: 72
Hakuna daktari wala muuguzi hata mmoja!!!!???
Inasikitisha sana.
 
Duh hayo mazingira hapo hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…