Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Umasikini ndo uwe na hasira hivi?Kwahiyo kwa akili yako unafikiri hao mashetani wanahitaji hadi washawishiwe kumpitisha shetani wanayepelekewa na shetani mkuu!? Hao hata wapelekewe yule gigy money watampitisha 100%
Ujinga mtupu! Amefanya nini kinacho stand out? Wee wadhani kuorodhesha tu kuwa alifanya kazi huku akitumwa kule ni achievement? Wajua maana ya kuwa Makamu wa Rais wewe? Anaweza kumwambia Samia No! Ikibidi?View attachment 3657644View attachment 3657645
Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanayo nafasi ya kihistoria kumuidhinisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitisha jina lake tarehe 26 Agosti 2026, hatua inayofuata inahitaji busara, umoja na uzalendo katika kutambua uwezo wa kiongozi huyu.
Mhe. Ndejembi amejenga uzoefu mpana katika utumishi wa umma, siasa na uongozi.
Amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, kabla ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Chamwino.
Aidha, amewahi kuwa Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (2021–2023), na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI (2023–2024).
Mwaka 2024 aliteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), kisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (2024–2025), ambako alisimamia masuala nyeti ya ardhi, mipango ya matumizi ya ardhi na makazi.
Tangu mwaka 2025 amekuwa Waziri wa Nishati, akisimamia sekta yenye umuhimu wa moja kwa moja kwa uchumi na maisha ya Watanzania.
Katika sekta ya Nishati, utendaji wake umeonekana katika kusukuma ajenda ya nishati safi ya kupikia, usafirishaji wa umeme na uwekezaji katika gesi.
Soma Pia: Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais
Agosti 22, 2026, alishiriki katika uzinduzi rasmi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa MW 2,115 ambapo alieleza kuwa, uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme nchini umefikia takribani MW 4,075.
Kwa historia hii, Ndejembi anaunganisha uzoefu wa utawala wa wilaya, serikali za mitaa, utumishi wa umma, kazi na ajira, ardhi pamoja na nishati.
Hivyo, Waheshimiwa Wabunge wanaombwa kuangalia sifa, uzoefu, uwezo wa kuratibu taasisi na dhamira ya kuitumikia Jamhuri, na kumpa ridhaa yao. Kumuunga mkono Ndejembi ni kuamini katika uongozi wenye uzoefu, mwendelezo na uwezo wa kusimamia majukumu ya kitaifa.
NdioUmasikini ndo uwe na hasira hivi?
Personally sijawahi kusikia kashfa dhidi yake, so tumpongeze, na tuupe muda uongee!View attachment 3657644View attachment 3657645

Haikuwa na haja ya kupaka mafuta kiasi chote hiki ili mrija upite kwa maana aliyemteua ni mteule na yeye(huyu) ndiye mteauliwa.View attachment 3657644View attachment 3657645

Mamamamaee, chini ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, manyumbu mtachanganywa mpaka mchanganyike.Kwahiyo kwa akili yako unafikiri hao mashetani wanahitaji hadi washawishiwe kumpitisha shetani wanayepelekewa na shetani mkuu!? Hao hata wapelekewe yule gigy money watampitisha 100%
Sawa madamMamamamaee, chini ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, manyumbu mtachanganywa mpaka mchanganyike.
Poa anti jSawa madam
Hata mimi mimeshangaa eti kamati inamchagulia Rais na kutoa maamuzi huko huko daah..Huo uteuzi wa Ndenjembi ni uvunjifu wa Katiba ya mwaka 1977.
Kwa mujibu wa Ibara ya 50(4), ni Rais anatakiwa kumteua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais ndani ya siku 14 tangu nafasi hiyo kuwa wazi.
Hakuna mahali kamati kuu sijui halashauri kuu ya chama imepewa jukumu hilo!