mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Nchi yetu bado ipo ktk bado ipo ktk hatua mbalimbali Za kutokomeza umaskini.
Wafanyakazi,wafanya biashara,Wenye viwanda na wakulima ndio walipa kodi wakubwa licha ya tax base kuwa finyu.
Kila mwaka lengo la bajeti si chini ya 35% ( Budget deficit) na hili ni Kwa sababu ya matumizi kuwa makubwa kuliko mapato.
Toka tupate uhuru tumekuwa wategemezi wa misaada, mikopo na ruzuku toka Kwa wahisani.
Leo tunapata wapi uthubutu wa kuruhusu na kuidhinisha mabilioni ya mishahara,marupurupu na posho Kwa wabunge (Wanasiasa)..
Wanafanya nini kikubwa?
Kweli wanastahili wakipatatacho?
Afya ya uchumi wetu ipoje?